A TOUR TO REMEMBER 25

A TOUR TO REMEMBER 25

Nilibaki nimemtazama kwa makini, nilishangaa tu machozi yanaanza kunilenga lenga yaan ile najiandaa kuyazuia yasinidhalilishe nikawa ndo kama nimeyaruhusu yatoke kwa kasiii , Alinishika shavu langu kwa kutumia mkono wake wa kulia akanambia hivii "Salmaa we ni mschana mwenye msimamo sana ,huna tamaa ningewezaje kukuambia kuwa nakulipia ile pesa ningeanza vipi mamyyy mmh , salmaa Nisamehe mpenzi wangu lakini sikutaka wewe ubaki haswa baada ya kusikia sababu ,sikuwa na mazoea nawewe na nilikuwa na uhakika usinge kubali kama ungejua umelipiwa na mtu ndio maana nilimtumia Imoo (teacher) Nisamehe sanaaa" Yalinishukaa mie bint yalinishukaaaa nilihisi furaha mnooo baada ya kulijua hili

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments