A TOUR TO REMEMBER 26

A TOUR TO REMEMBER 26

Akanambia si umelidhika sasa tuondoke?? Ndo nakuja kushtuka saa tatu hiyoo hivi mie nipo Serious kweli jamani ,nikasema ngoja nimpigie tena eliza ,ile nachukua simu nakuta sms yake (Nimemwambia kaka yako upo kwetu kwahiyo ujue hilo sawa na ukirudi nambie ) Nikamtext wewe umejuaje mie sijarudi na umeongea nini na kaka ?? Akanambia "wee mie nimeanza kuchezea dudu kabla yako embu kitulize huko ukirudi nicheck tuongee" Ilibidi tu nicheck hata sikumjibu ,nikamwambia karim ,akasema vizuri ila shoga ako hata simuamini huyoo mapepe sanaa ,ile siku nilimsikia alivyokuwa anakulazimisha ukubali madanga" Mi nikachekaa kwa aibuu mana ni kweli kabisa tuliongea hivyo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments