A TOUR TO REMEMBER 31

A TOUR TO REMEMBER 31

Edda alibaki kimyaa, eliza akanambia mie tuondoke, tuliondoka huku Eliza anamwambia Edda ole wako nikuone tena pambana na bwana ako sio huyuu mpuuzi weee. Namie nikageuka kwa nyuma nikalizomea, nimetetewa na udugu wangu. Basi tulivyofika mlangoni eliza wala hakunisemesha wala kuniuliza kitu, nilimwambia asante wakati anaondoka zake na hata hakunijibu nyei ndo nilijua eliza anadharau kwelii! Muda wa kuondoka sasa, karim akanitumia msg nenda moja kwa moja nyumbani mi nimewahi kutoka, nikasema huyuu wakati mie nina shida nae Serious. Nikampigia simu nikamwambia embu acha utani wako mie na shida na wewe akanambia nenda nyumbani salma mie nitaonana na wewe usiku

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments