
Nilijiuguza nikiwa naenda na chuo, yule mwanamke alikuwa bado yupo polisi mpaka mie na yule dereva aponeni mana yeye alikuwa mikono yote imevunjika, nae alikuwa amesharuhusiwa kutoka hospitali. Nilienda na karim kwa baba yake, alikuwa amemuhamisha kule kwake yupo kwenye nyumba ndogo japo na enyewe ilikuwa ya kishua kweli kweli. Yule baba alinishukuru mno, alinishukuru jamani, akanambia nakutakia kila lililo kheri bint yangu. Leo nakuja, nimetimiza tamanio langu, naumia tu siwezi kumuona hata na mjukuu wangu. Nilimwambia baba hapana, we bado upo na inshaallah utatuona mpaka basi. Alitabasam tu. Nilikuwa naenda mara kwa mara pale kumuona mzee. Karim alilipa mahali
0 Comments