
🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆 Nikasema hapana jamani, kwni nimefanyaje mpakaa unanambia hivyo, akanmbia okey so ww ndo unatoa detals zangu kwa polisi juu ya muonekano wangu si ndio, nikabaki kimyaaa, akanmbia okey, tutaonana kisha akakata simu, aseeee apo apo nilitoka ndani kwa kukimbia nakwambia presha ikiaa juu kweli kweli, mpaka kwa baba, yani nje ya nyumba, mana alikuwa amekaa barazani, anakunywa juice, baba aliponiona akaniuliza vp tena kipenzi, nikaaema baba, justin kurwa kanipiga simu, kanipigia simu ananitishia kuwa natoa habari zake, atanifanya kitu kibaya naogopa sana, baba akanmbia tulia ,naomba utulie kabisaa, uyoo justin ni mtu mdogo sana, na nitamfanyizia haiwezekani awe anakupigia
0 Comments