AMIDA Sehemu ya 13 -- 14

AMIDA Sehemu ya 13 -- 14

Basi nikatulia ata kunywa sinywii, yani nilikuwa naona kabisaa polisi wanachelewa, na kama baada ya dakika 15, aseeee polisi kama wote wakavamiaa pale, asee nageuka hivi, kumuangalia justin kurwa ni hayupp kabisaaa,mpaka nikashangaaa mbona alikuwa hapa, yani hapa hapa, basi afande mkuu akanifata chapu, akanmbia amida yupo wapi uyo mualifu, nikasema jamani ,alikaa apa apa , yani alikaa pale, mdaa huu huu alikuwepo apa, uyu afande akasogea mapka alipokuwa amekaa justin kurwa, akasema yes apa alikuwepo ,mana naona vipisi vya bange apaa chini, naona katukimbia mda huu huu, akawambia polisi wenzake, ebu tokeni njee haraka atakuwa maeneo ya apa apa,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments