
Baba akanmbia tulia ,tulia mwanangu, na dr akanmbia kwa sasa unaendelea vizuri, japo wamekuvutisha madawa mengi ili ulale ,ila tumejitahidi kwa sasa upo sawa na tumeshakiandikia dawa, nikasema sawa nashukuri sana, nasi yule dr alipotoka sasa, akaingia hamza mwanaume wangu, akaja kunikumbatia kwa nguvu uku aknipa pole nyingi, nikamshukuru tu, basi apoo ndo wakingia na ndugu, na kila mtu ananipa pole, na baada ya mda wakaja polisi sasa kunichukua maelezo, aseee nilieleza kila kitu, kuanzia natekwa, mpaka nilipofika na jinsi nilivyonusurika kufa na justini kurwa, uyu polisi aliyekuwa ananihoji akasema aseee jistin kurwa sasa ameshatoka kwenye ujambazi amekuwa gaidi, amekuwa
0 Comments