
🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆 Uyu kaka akanmbia , okey hujapigia polisi siku and why unaniongelea vibayaa ,.nikabaki kimyaa mana apo sikuweza kukataaa, mana nimetoka kumzungumzia vibaya sasa hivi na kumbe alikuwa ndani ya gari umu umu, akanmbia okey nitakutafuta na utalipia, sasa endelea kutoa information zangu kwa watu wasionifahamaj, nikabiaki natetemeka, mala nikasikia kiooo changu kinagongwa, nilipoangakia njeee, naona mtu kavaa nguo za polisi ndo ananigongea, chapu mie.nikafungua kiooo, yule polisi akanmbia upo salama dada, nikasema hapna uyu mtu ndo kanisababishia ajari, asee nageuka hivi, naona siti nyeupees, naangalia nyuma naona hakuna mtu, nikahisi kabisaa uyu justin kurwa atakuwa anatumia uchawi kwenye kufanya
0 Comments