AWERIIIIIIII MIMI😃 🎀 Ep 1-5 🦋🦋🦋

AWERIIIIIIII MIMI😃  🎀 Ep 1-5 🦋🦋🦋

🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋🦋 Sometimes mapenzi yanaweza kukuchanganya mpaka ukajikuta unafanya mambo ambayo hayana maana kabisa. Ndo maana tuna shauriwa sana kuacha kufanya maamuzi kwa kufuata moyo na badala yake tutumie akili zetu. Mtajua kwanini ninasema hivi but for now niwasimulie kwanza kisa changu 😋. Jina langu naitwa Aweri Suleiman, mtoto wa pekee wa Bwana na Bi Suleiman. Nimezaliwa na kukulia huko Handeni katika kijiji kimoja hivii kinaitwa kwamsisi ndani ya mkoa wa Tanga. Katika Elimu, nimesoma hadi Form 4! Tena mpaka kufika ilo darasa nili pambana kweli! Nilirudia form 2 mara mbili, ikabidi sasa walimu wanipeleke ivo ivo kidato cha tatu🤣. Na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments