
Basi nikapumzika zangu, na asubuh sana niliwahi kuamkaa, nikakuta bado hamza kalla, basi nikaona ata nisimsumbue, mie nikainuka zangu kisha nikaingia bafuni, nikapiga maji na nilipotoka bafuni sasa, ndo nikaenda kumuamsha hamza, basi hamza akaamka kisha akakaa kitandani, nikamwambia mpenzi kumekucha sasa, naomba uamke na tuongee ,hamza akasema unataka kuongra nn na mm , nikasema mpezni najua una hasira sana na mm, but sory ,samahani sana mpenzi nimekosea mnoo, ni cat aliniomba nimpeleke club alikuwa kamis sana kwenda uko, ndo nikampeleka ,hamza akanambia hivi ni mala ngapi tunagombana juu ya tabia yako ya kutokuagaa. Na issue ya ukishalewa kuendesha gar
0 Comments