
Tulirud nyumban lakin wakat wote tupo kimya na Dick alikua kanuna tena hana raha,nikamsogelea na kumuuliza shida nini Ila hakunijibu akapitiliza moja kwa moja ndani. Nilisikia mimba inaweza sababisha ukakosana na mume wako nikahisi huenda n mimba nikijifungua tutakuwa sawa hivyo nikaona nivumilie. Basi nilichelewa kupata uamisho mpaka mimba ikafikisha miez mitatu,Jack aliendelea munisumbua nikamwambia siwez kuisaliti ndoa yangu kwa ajili yake. Alikua ananisumbua sana,ikabidi nimuombe siku moja tukutane tuzungumze. Tukakutana kwenye restaurant moja,tukaagiza vinywaji kisha nikamwambia aniache kwa aman maana mimi ni mjamzito na mume wangu ni Dickson. Jack alishtuka ni kama hakutegemea kama Dick anaweza kunioa ilhali alinikabidhisha
0 Comments