
Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Basi nikaenda kujieka kitandani, nashangaaa kanisogelea, akanambia assa mbon umekuja kutandani ata haujajifuta maji, nikanyamaza kimyaaa, akachukua taulo lengine, nashangaa akaanza kunufuta, mh niliyaona mapyaa, uyu bwana na mambo ya kuwa romantik wapi na wapi, apo naona kabisa ata hayupo.sawa basi alivyomaliza kunifuta ,naona kanyanyuka ,kaenda chumna cha nguo, naona karudi na chupi 2 na sidilia kazishika mkononi, akanisogelea mpaka nilipokaa pale kitandani, akanmbia vp amida hizi umenizipenda, nilikununulia juzi, woow ni nzuri sana ni zile nguo classic kabisaa, mi nazijua mana ata mie wala sivaagi vitu vya bei rahisi kabisaa, nikavipokea vile vitu kisha
0 Comments