
49 MPAKA 53, A 🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆🍆 Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Mie nikabaki tuli, pembeni yake nikimuangalia tu ,mana ata simuelewi, nyieeeee nilishangaaa sanaa, yani justin alikuwa analia kabisaaa uwiiii, nikawa naogopa aisje akapandisha hasira zaidia akanidhuru mimi,mala mlango ukafungiliwa kisha akaongia jackson na haraka akamkimbilia justin, akamwambia justin imekuaje imekuajee. Justin hakuongea tena, akanyanyuka kwa hasira aktoka mule chumbani, so.nikabaki mie.na uyu jackson, apo mie ata sielewi, uyu jackson akanisogela kisha akakaa kitandani kwa pembeni kidogo,, then akanigeukia akningalia kwa sekunde chache,kisha akanmbia amida , unaendeleaje, nikasema nipo sawa, ila sipendi mnavyonivutisha ayaa madude yenu ili nilale sitaki kabisa, jackson
0 Comments