
Ucjal baba nitahakikisha wanalipia unyama wote walio tufanyia akasema Dickson. Akamtka baba yake amuadithie kwa ufupi kilichompata miaka yote hio na alikua wapi katika kipindi chote. Nilikua nampenda Sana marehemu mama yako,yaan nilimpenda na kumuamin kuliko kitu chochote kile ila tulikaa muda mrefu bila kupata MTOto,tukaeenda kupima wote tulikua sawa ila wakati wa Mungu tu ulikua haujafika,ndugu wakaanza kuleta maneno na kutaka kunitafutia mwanamke mwingine ila sikutaka maana sikutaka kumuumiza mke wangu,baada ya miaka saba ya ndoa yetu mama yako alipata ujauzito haukutimia ukatoka akaja kupata tena ujauzito ambao ndio ujauzito wako na aakakuzaa salama tukajua maneno ya ndugu yatapungua
0 Comments