AMIDA Sehemu ya 56 na 57

AMIDA Sehemu ya 56 na 57

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Mnajua nilibaki naliangalia jambazi langu ata silimalizi, apoo mkononi ni ana saa kavaaa pure gold, aseeeee acheni, yani nikiangalia mazungira ya njee sasa, mnajua ni pori , acheni kabisaaa ikabidi nitulie tu, aseeeee mnajua uyu justin sio mtu wa kuongea ongea kabisaa, basi ni kanyamaza kimgmyaa ,anaendesha gari mie ndo namuangalia tu, tulitembea kwa masaaa 3 sijaona kitu chochote njeee, yani pori na pori na baada ya mda, ndo naonaa nyumba sasa, alafu tumekuja kutokea njiaa ya bagamiyo, ila apooo sielewi ata nilipotoka, sijuh ni kanizungusha , acheni kabisaaaaa, basi nikatulia zangu, kweli akanipeleka mpaka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments