Usifanye mambo haya 10 kwa mke wako kwani hata kama atavumilia utamvunja kimwili na kiroho na utakuja kujuta uzeeni.

Usifanye mambo haya 10 kwa mke wako kwani hata kama atavumilia utamvunja kimwili na kiroho na utakuja kujuta uzeeni.

(1) Usimp*ige wala kumfanyia uka*tili wa aina yoyote Kum*piga, hakukufanyi wewe kuwa mwanaume sana, wala hakumfanyi akuheshimu kunaamfanya avumilie kwasababu, siku hizo sababu zikiondoka wewe ndiyo utajuta; kunamjengea hofu, majeraha na chuki ambayo inaweza kudumu maisha yake yote. (2) Usimdha*lilishe kwa maneno kwkaua tu hawezi kukujibu Kumt*ukana, kumuita majina mabaya, kumkejeli kuhusu mwili wake au kumwambia hana thamani humvunja taratibu, hata kama mbele yako anaonekana kuvumilia, lakini kuna muda moyo wkae utachoka, utaonga na atakuangalia tu bila majibu! (3) Usimsaliti mara kwa mara huku ukimdhalilsiha na kumuonyeshea Kuchepuka na kumlazimisha avumilie kwa sababu ni mke wako kunaharibu kujiamini kwake, afya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments