
Uyu jackson akasema ,unajua kwa nn kakuacha, justin akitaka kumuua mtu kwa bastora, kisha akamfyatulia risasi, na ikawa haijtoka, kwa means risasi zimeisha huwa ana amini , bado anatakiwa kuishi na hamzuru tena, mh nikabaki natetemeka, nikamwmabia uyu kaka, naomba unisaidie kunitoa apa, nitakupa pesa unayotaka plssss, nisaidie , nilijalibu kumuomna msamaha uyu kaka mana niliona ni ana moyo sio kama uyu justin, jackson akasema kama hajakuua atakuachia, but sielewi atakuachia kwa namna gani, nikabaki kimyaaaa ,kisha na uyu kaka akatokaaaa, nyieeee, nikasikia kimyaaa kabisa apo sielewi nipo wapi, na sielewi nipo katika mazingira gani, basi nikasikia kupo kimyaa kbisaa,
0 Comments