BEHIND HER BACK 05

BEHIND HER BACK 05

Basi nikawa nipo makini nafatilia huko mbele vinavyoendelea, ukafika muda wa kula keki akaitwa frank(shemu)muda wa kula keki na mwenza wake, hapo kula keki unatoa hela basi akainuka mmh, shemu shemu kwelii aloo, Nikajikuta namuangalia jicho la wivu nikakumbuka kule hakukojoa aloo nikakiangalia hiko ki demu chake mfyuu nikajikuta nasonya ama kweli adui wa mwanamke ni mwanamume sema tu mnaonaga wanawake ndo wakubebshwa lawama hadi mkasema adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie aisee hili mimi nakataa Hawa wanaume wanafanya tuchukiane kisa ma dudu yao, Shem anatmba vizuri kuliko Bwana angu sasa wewe ungeweza mmh kwanza shemu ana bonge wa o0

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments