
Basi shem akawa ananibembeleza sanaa twende wote, mie ki kutumbua kinataka ila moyo unakataa kabisaa, hivi moss akija kujua itakuwaje jamani mmh .. Nikamkatalia kabisaaa ki nguvu ila nikawa na genye sasa kibao, ikabidi tu nimtafute mpenzi wangu , nikamwambia nipo kwenye sherehe nataka nije kwako akasema sawa niende .. Muda tunatoka shemu akataka atupeleke kila mtu na kwao, huwa ana kigari gari chake tu cha bei rahisi hivi Nikawaambia nyie nendeni tu mie kuna sehemu naenda, mmh shem alitoa jicho akasema sa hivi usiku sana unataka kwenda wapi?? Nikamtazama sikumjibu nikasema tu kwa heri ya jumla napiga hatua, akanizuia
0 Comments