JAYDEN Sehemu ya 13

JAYDEN Sehemu ya 13

Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Basi alipomaliza kulaaa sasa, akanmbia jay unajua nn, nikasema no sijuh mma nambie, akasema mie mwenzako nasikia jotooo sana ,naweza nikapata sehemu ya kuogaa kwanza, yani na hivi nimeshiba nahisi joto mnoooo ,nikasema yes mtoto anajilengesha mwenyewe, nikasema usijali mama, twende uku chumbani kwangu akanmbia sawa, basi nikamnyanyua ,nikamshika mkono, kisha nikampeleka mpaka chunbani kwangu, nikamuelekeza bafuni nikampa na taulo langu akanmbia asante kisha akaingia bafuni, mnajua aka kabinti mie nilikuwa naonga ni kapole nikiongea napo, alafu nilikuwa nahisi kama vile bado atakuwa mgeni, ila kwa jinsi nimemuona na kwa jinsi anajiamini sana , nikaonaaa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments