
Whattsap; 0786796363 Mwandishi; HABIBA MARAMOJA Yani mi sikuwa ata naelewa nataka nn. Yani sikuwa nauelewa moyo wangu ni kwamba unamtaka justin or not, ila nikikumbuka ana uwezo wa kuwa na wanawake wengine najikuta naumia sanaaa, basi mda uo uo, naona anapigia simu, akapokea ile simu kisha akasema jackson kancel kikao cha leo, wamboe tutakifanya kesho saa 4 asubuh, nimepata excuse, and kuhusu amida nitamrudisha mm we endelea na issue zako zengine, kisha akakata simu, akaniangalia kisha akanmbia umerizika sasa ,nikabaki kimyaaaa, basi akaanza kuvua suti zake sasa mana mtoko umekufa nikabaki namiangalia tu, akavia zote mpaka akabaki na boksa tu,
0 Comments