
29 MTOto alikua ana macho ya blue kwa maana kile Kiini cha jicho ambacho watu wengi wanacho cheusi sasa yeye n cha blue. Alikua mweupe kama muarabu niliogopa Sana maana mimi sio mweupe na Dick pia hakuwa mweupe na hata mama yake Dick ni mweupe wa kawaida,nikaona ndoa yangu imefika mwisho nikaomba walionizalisha wasimpe mwanangu mtu yoyote zaid yangu maana sikua na mtu yoyote ninae muamin nikawaomba pia wasimruhusu mtu yoyote kuja kuniona waambie watu wote hali yangu n mbaya nashukuru walinielewa na hakuna aliekuja kuniona nilitoka na kwenda nyumban kimya kimya bila kymshirikisha mtu,nilipofika nikamkuta Mwanangu Michael nje yule
0 Comments