KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO 32

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO   32

Tulipomaliza alinipeleka bafun akaniogesha baada ya hapo tukala akaanza kuniambia. Mke wangu sijawah kufikiria kukusaliti Ila cjui nilipatwa nani yaan bado najutia. Sitaki kujua ilikua je Ila naomba uniahid hutaniumiza tena nikamuambia. Nakuahidi Mke wangu akasema. Basi tukawa tunaendelea kupiga story aman ikarud kama mwanzo. Tulipofika nyumban tulimkuta Michael Ila huyu wakwetu mdogo anaitwa Junior huwa nampelekaga daycare maana sikuona umuhimu wa housegirl lakin nilipo taka kumfuata Dick akanizuia na kwenda kumfata yeye. Basi siku hio ilikua siku ya furaha kati yetu. Sasa kuna muda Dick alikua chumban kapumzika Mimi nikaingia mitandaon kuperuz. Sasa kuna post zilikua zinanichekesha cjui Dick

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments