
Yule n Mke wangu,Mke Wangu wa ndoa unasubutu kuongea upuuzi Kama huo Mr P,kwan unakosa Nini,ikasikika sauti ya kiume ikisema. Siujitokeze ukahudumie familia yako,kwa nini umeact umekufa,unajua ni namna gani mkeo amekumis,unajua ni namna gani wanao wanakuhitaji,akasema P. Kuna nini hujui,najua unajua sababu za Mimi kujificha,sababu za Mimi kuact nimekufa naomba,nakuomba sana kuwa na mipaka kwa Mke wangu nitakufanya kitu kibaya usiamini. Basi waliendelea kuongea Prosper na Dickson kana kwamba kuna mipango wanapanga na akiendelea kumuonya kuwa Prosper awe na mipaka kwa mkewe Lucy. Baada ya maongezi Prosper alirud anapoishi na Lucy. Watoto walikua shule hivyo nyumban alubaki Lucy na
0 Comments