KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO 40

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO  40

Nilibaki nimeduwaa kama sielew na siamin kilichotokea muda mfupi uliopita,sikutaka kutoka nje nilibaki chumban kutafakari mambo yanavyoenda. Kama Dickson hajafa kwa nini akiigiza kufa,au itakuwa namuwaza sana nini,lakin mbona kama ni yeye nilikua najiuluza na kujijibu mwenyewe. P alitaka kuongea na mimi ila sikutaka,nilitaka kukaa pekee yangu bila kero wala bughudha ya mtu yoyote. Nilikuja kutoka siku ya pili P akanifata na kunikumbatia na kuniambia namna gani alikua nanwasiwasi juu yangu na namna gani kanimisi. Sikuwa tena na hisia nae nilikua namuwaza Dick wangu na naiwaza hatma yetu. Alijaribu kuniweka kimahaba lakin ni kama alikua anajisumbua maana kila alichokifanya niliona

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments