KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO 41

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO   41

Basi Lucy alikunywa kile kinywaji Mara akaanza kuhisi ukungu machoni mwake,hakujua kulitikea nini tena amekuja kushtuka asubuhi akiwa amelala kifuan kwa Dickson. Alishangaa akaanza kuvuta kumbjkumbu ya matukio ya jana usiku ila hakukumbuka kitu zaidi ya kukumbuka kuwa walikuwa wanaongea na Prosper sasa Dick katoka wapi. Akataka kumuamsha Dickson lakin Dick hakuwa amelala akawa anamsikilizia tu,alipomshika akajifanya kakurupuka. Mbona sielewi akauliza Lucy. Usitake kujua mengi Lucy mke wangu chamsingi ni kuwa nipo hai naunatakiwa ujue Mimi ni mbunafsi hivyo siwez kushare wewe na mtu mwingiene akasema Dickson. Dick akaondoka maana hakutaka watoto wamuone maana ingezua mtafaruku. Lakin Lucy alipotoka chumban

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments