KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO 44

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO 44

Dickson alishamuachilia P huru na kumpa sharti la kutokumsogelea mkewe au hata kusogea karibu na nyumba yake. P ama prosper hakuna tabu maana alitoka mbali sana na Dickson na akaona alikua anaziendekeza hisia zake mpaka kutaka kumsaliti rafiki ambae wamepitia changamoto nyingi pamoja kWa kuwa na mahusiano na mkewe ambayo sio kitu sahihi. Unaenda wapi sasa mume wangu,Ni kweli hujanimisi natamani tushinde wote kwa walau leo tu Plz. Ikabidi Lucy atumie uanamke wake walau amtulize mumewe waweze kulala pamoja kwa usiku huo. Plz Mke wangu naomba uruhusu niondoke kuna mtu wa muhimu nataka nikaonane nae wakati huu,akaendea kusisitiza Dick. Hatimae

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments