KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO 45

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO 45

Basi siku hio ilikua ya furaha sana kwa Dickson na familia yake,walikula wakanywa na kusharehe pamoja. Siku zilienda hatimae wiki ikakaribia kuisha,siku moja Usiku Dickson akiwa amepumzika na mkewe akaanza kuhisi kichwa kinamuuma,kichwa kilimuuma sana akaona akapumzike,basi mkewe Lucy akawaandaa watoto kwa ajili ya kwenda kulala kisha akaelekea chumban ambapo hua analala na mumewe akamkuta kalala fofofo akaona asimuamshe kisha na yeye akalala zake lakin cha kushangaza asubuh alipoamka hakumkuta akamtafuta nyumba nzima lakin hakumuona akaona isiwe shida maana yeye n mtu mzima atarudi tu basi akaandaa watoto wwakaenda shule na Lucy akaenda kazin akitegemea kuwa atakaporud atamkuta mumewe nyumban

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments