KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO EPS 24

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO  EPS 24

Ilipoishia eps 23 Siku moja nilikua ndio nimetoka kazin naandaa chakula cha jion Mara nikapigiwa simu Hallow naomba tukutane kwesho saa tisa mchana mrembo nina suprise yako,ilisema saut ya kiume ambayo nikama niliifahamu ila sikuwa na uhakika kama ninae mfikiria ndio huyo nilieongea nae. Songa nayo....................... Niliogopa kumwambia Dickson maana namjua anawivu sana. Kesho yake nikajiandaa nikaenda kumuona huyo aliekuwa akinipigia. Lahaulah ni Jack. Alivyoniona tu alinikumbatia kwa furaha sana. Akaanza kunihadithia kuanzia alivyomaliza chuo mpaka alopooana na mzungu. Kumbe alikua akiteseka sana na hajawah kupata mtoto na mzungu na wazaz wa huyo binti hawakumpenda kutokana na rangi yake. Alinisimulia

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments