KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO EPS 23

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO  EPS 23

Ilipoishia eps 22 Alipokea mwanamke na kunambia kuwa Dick ana siku ya tatu kalala baa. Uwii nilihisi kuchaanganyikiwa na kwwnda kukata Ticket ambapo ningesafiri kesho yake. Songa nayo............... Hatimae kukupambazuka nikaanza safar ya kuelekea Tanga. Nilifikia Tanga kwenye saa 9 nikapiga tena simu ya Dick ikaita lakin haikupokelewa,nilipiga Sana lakin hakupokea nikarud nyumban nikamkuta Dada wakazi akanambia kuanzia nilipoondoka Dick hajarud nyumban anafanya kazi ya kubadilisha mabaa tu. Nikaanza kuzunguka kwenye baa mbalimbali kumtafuta Dick. Nikamkuta kwenye moja ya baa akiwa kalewa hajitambui,nikamchukua na kurud nae nyumban. Nikampeleka moja kwa moja mpaka chumban nikamvua viatu. Wakati naondoka natoka chumban akanivuta

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments