KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO SEASON O2 26

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO   SEASON O2  26

Ilipoishia eps 25 Nilijaribu kumsemesha lakin hakunijibu akalala zake. Akawa mtu ambae hatak kabisa kuongea na mimi. Yaan hanishiki wala haniulizi lolote. Jack aliendelea kunitafuta na sijui nilipatwa na nini Ila nilikuwa nawasiliana nae vizur tu kumbe Dick alikua ananifuatilia kila kinachoingia kwenye simu yangu. Hatukuwa tunachat chochote cha mapenz Ila nikama alikua mfariji wangu. Dick hakuwa na time kabisa na Mimi,akawa hanijal tena na alikua anaweza akarudi usiku wa manane na hata ukimuuliza hajal na haon kama amechelewa na sio vizur kwa wanandoa. Siku moja nikajiandaa vizur kwa ajili yake nikajiambia lazima niutumie uanamke wangu kurudisha aman kama iliyokuwepo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments