LOVE BEHIND HER BACK 13

LOVE BEHIND HER BACK 13

Alipoondoka na sie tukaongozana najitahidi kujiongelesha kweli ili mawazo ya shemu yapotee. Akanipeleka mpaka nyumbani, na nilipo fika nyumbani pale nje tukapiga story weee mpaka mama alipo niita ndo nikamuaga ba mpenzi nikaenda ndani ... Basi tangu hiyo siku, nikazidisha mapenzi kwa ba mpenzi wangu yaani ki ndaki ndakiii muda wote nachati nae, yote nilifanya ili kumpotezea Shemu. Hata yale mazoea na kina moss nilipunguza kabisaa, Moss akataka nimsindikize kwa Shemu mie akhaa natoa sababu zangu kibao, hata mage habari za kumsindikiza nae nikaacha, siku ambayo siendi kazini nilikuwa nashinda nazurula nao tu, nikaacha nikawa kama siendi kwa ba mpenzi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments