LOVE BEHIND HER BACK 07

LOVE BEHIND HER BACK 07

Nikawa namsukuma nyuma vile alikuwa analazimisha kuniramba midomo mi sitaki "Subi …. siwezi kujizuia tena mbele yako siwezi" "Embu niache mie, huwezi kujizuia kwa kila mtu hata mama mtoto wako pia huwezi afu leo anataka wewe unajishaua kumkataa mfyuu" "Aah….. yaani mimi ndo namtaman mama Victa unataka kusema??" "Mtajua wenyewe bwana mie naenda" nikataka kusukuma mlango kufungua akanivuta mkono "Embu tuongee viiitu serious basi … achana na hao wanawake ni vile tu sikukujua kabla yako" "Mxeuw" "Ndo shida yako hiyo…. kwahiyo twende basi ukalale kwangu" "Nipe kwanza simu yangu" "Ohoo … unataka kuongea nahuyo bwana wake sindio" "Sio we nipe

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments