LOVE BEHIND HER BACK 10

LOVE BEHIND HER BACK 10

Nikawa napitia pita picha zakee li mkaka hivi gentleman kweli kweli afu hela kaishika bado young mnoo afu hana mke mmh Mwili ukasisimka, msg ikaingia kwenye simu yangu, nikaifunga chap nilijua shem labda hee!!!kumbe Moss "umelala" "Bado, vipi??" "Baba victa amukupeleka mpaka kwenu, maana nimekupigia sana hata hupokei" "Ndio ila ashaondoka kwani vipi" "Nataka niende kwake kile ki mwanamke chake kinajishauaaa wakati nikitaka kurudisha ma jeshi pale muda wowote baba Victa hapindui" Mmmh nikaguna ki moyo nikamuekea emoj za kucheka bila maneno, ila hizo story niliona zinaniboa kwanza watajua wenyewe Akanijibu "yaani nina Upwiru debee halafu J (bwana ake) hata

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments