
Basi nikaweka zangu simu huko nikalala uso umechanua tu mtabasam kila nikikumbuka vituko vya shemu wangu ba Victa mmmh kaka ana balaa huyo sio kidogo ... Basi bwana asubuhi mi kama kawaida mi kajidamka siku enyewe mi nafanya tu vi shuhuri vyangu huko mjini namuuzia mtu duka lina uwakala basi, nikaamka mapema sana huku nipate na nafasi ya kupita kwa shemu japo jana usiku niliambia siwezi kwenda .. Wakati natoka nikakumbuka Moss alinambia anakwenda huko kumpa tamu shemu, nikasema nisije kuchanganya mambo hapa, ngoja nimpigie kwanza nijue huenda alienda kuliwa nae, roho haikuwa inaniuma hata maana si ndo mtu wake
0 Comments