
Nikainuka haraka kwenye kitu shem akanambia "embu kaa ... mbona unaoopa" "Ah weee Moss huyo??" "Hawezi kuwa Moss hata akiwa yeye siwezi kumruhusu aje ndani kwahiyo tulia...endelea kula bwana" yeye akapiga hatua kutoka nje. Mmh yaani nikae kulaa aah wapi nikaenda mpaka dirishani pale sebleni unaona vizuri geti pale nikasimama namchungulia Akafungua geti sa ngap asiingie yule mpenzi wake jana tulikuwa na nye kwenye ile sherehe ohooo moyo ukapiga kwa nguvuu nikaogopa, sasa huyu anaweza kweli kumzuia kuja humu ndani?? Nikaanza kutafuta sehemu ya kujificha natembeza macho seble nzimaaa sioni, narudisha macho dirishani wamesogea huku kabisa Shemu kamzuia Yule dada
0 Comments