
Nikawa namchora tu akanisimulia et Frank alimtimua yule dada kama mwizi halafu yeye akaingia ndani na frank, et akanambia Wamepasha na kiporo mmh hapo sasa ndo nikamuona bonge wa muongo yaani ndani ya lisaa li moja tuyari awe na hapa navyomjua Shemu kit@mbo chake Wakati story zimekolea simu yangu ikaita, Moyo ukafanya paa!! Baada ya kuona anapiga shemu, nikaibonyeza pembeni kimyaa nikatulia, ilivyo kata tu nikatoa simu, ikaita wee naitupia jicho la chini chini . Ukweli kabisa kutoka moyoni nilisema sitaki tena huu ujinga sitakiii kwakweli . Tukawa tunapiga story na shoga zangu unafki nimeacha, nilipoona shemu anazidi sanaa kuupiga
0 Comments