
Niktamazama kwa kutia huruma akainuka akasema "kama ni hivyo hakuna haja ya haya mahusiano, okay uwe na maisha mema, nitakaa mbali nawewe hata mazozea ya mwanzio nitayavunja " Heeu huyuh shemu vipi nikamvuta mkono alikuwa ashatemba hatua kadhaa kufata mlango "Sa unaenda wapi??" Nikamuuliza bado nimeshika mkono wake akanitazama akameza mate halafu akanambia "Subi...mimi nakupenda sijakutamani bwana" "Vipi kuhusu moss" "Usiangalie mtu Subi.. embu acha kumuwaza huyo mwanamke basi aah!" Akaingia kwa ukali . Uwiii nifanye maamuzi gani sasa miee "Mi nataka tuwe wasilisini frank" "Mimi nataka uwe maalumu kwangu full stop ikibidi tufunge ndoa kabisa" Heee niliyatao macho ndoa
0 Comments