
Maskini Muhuni wangu hana hata hatua Basii sa nitafanya ninii nikamzimia kabisa simu... Gari ilikuwa inatembea, macho yangu nilikuwa namuangalia Frank kwa pembeni, vile anavyoshika usukani, ile mishipa ya mkononi inatoka kidogooo... sauti yake ya kukataaa "usiipokee" bado ilikuwa inazunguka masikioni kama wimbo wa usiku Nikashusha pumzi ndefuu, nikanyamaza hapa nishajua, huyu hata sio mimi tena, ni Subira anayeyeyuka mbele ya shemu wake , Subira ambae hawezi kabisa kuhimili hata pumzi ya frank. Alikuwa anaendesha gari taratibu , Hata sijui tunaenda wapi, gari ilikuwa kimya , alipo geuza macho tukagongana uwii nilikwepa harakaaa Akaniukiza pole pole huku ananitazama jicho la
0 Comments