LOVE BEHIND HER BACK 20

LOVE BEHIND HER BACK 20

Niliumia sana roho sanaaa yaani kumbe hakuwa na marafiki alo yaani sie wote tulikuwa wanafiki kwake, sijapenda .. Frank alimtimua mbio mbioo nusu ampige na makofi na kumbe alikuja hapo kuonana na frank jamani duh, kule walivyokwenda kwa huyo mganga yoooote kamwambia Frank mpaka mashart waliyo pewa , Nilijisikia vibaya sana, moss hata hajui watu walio mzunguka ni watu wa aina gani, yeye ana enjoy na kufurahi na mashost zake kumbe ndio tunamzunguka hao hao na kumchoma kisu cha mgongoo ... Baada ya mage kuondoka nikamuomba tu yule Boda anipeleke nyumbani, sikuwa naamini kama kweli mage anaweza akaitunza hiyo siri,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments