
Anaongea anajichekeshaa mpaka basii mi naguna gunu tu, "yaani Subi michangoo jamani michangoo tutagambana nyie ndo watu wangu wa karibu wewe na moss" "Usijali??" Nikampa tu moyo maana maongezi niliyosikia na anayo ambia ni vitu kumi tofauti kabisa akasema "enhee nilitaka kusahau" "Nini??" "Baba victa, kuna rafiki yake mmoja aliendaga Nairobi huko, yuko kaka ni muhuni kweli kweli yaani mchafu si ajabu hata ana ukimwi tayari" Moyo ukafanya paa!!! Yaani Moss, moss nimekuita mara bilizi simu na wewe jamani we nyokaaaa Akaniambia "sasa navyosikia kuna kazi amepata ndo anatafuta mke maana hawezi kupata kazi mpaka awe na mke kwahiyo yeye
0 Comments