MOYO ULIOTUMIKA 04

MOYO ULIOTUMIKA 04

SEHEMU YA 04 Nilitarajia Jabir angeniuliza kwanini nimezima simu lakini hakufanya hivyo. Niliondoka huku ni kimuomba anipe muda wa kufikiria kuhusu upuuzi alioufanya siku ya leo. Mida ya jioni ilipowadia nilielekea kazini, niliachia tabasamu baada ya kumuona Ali....mwaka mzima ulipita bila kuonana naye "Nilienda Nje kikazi na ndio sababu sikupatikana kwenye simu" Ali aliongea huku akiweka mezani boksi dogo la pafyumu. Mimi siyo mpenzi wa manukato hivyo sikuonesha dalili ya kuishobokea. "Bila shaka hupendelei manukato lakini hii zawadi ni kwa ajili yako" Ali aliongea "Baada ya demu wako kuikataa ndio unaniletea Mimi? pole sina interest na manukato" Niliongea "Bila shaka

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments