MREMBO KIPOFU 04

MREMBO KIPOFU 04

Bora hata kuongozana na jini kuliko huyu kaka. "Bianca twende wote, siwezi kuruhusu wewe peke yako uzunguke barabarani." "Hapana kaka Frank, we pumzika." "Kwani bado huniamini tu Bianca eeh? Embu niamini hakiamungu siwezi kufanya ujinga wowote, najutia laiti ungeona nafsi inamajuto kiasi gani. Nisamehe sana Bianca." Hivi nani anaweza kumuamini kirahisi tu? Nimuamini mimi kwa lipi jema alilonifanyia? Alinilazimisha mno, ilibidi tuongozane tu yeye mbele mimi nyuma kashika fimbo yangu. Alikuwa ananihadithia vitu vya kuchekesha chekesha, mladi tu kuchangamsha kijiwe. Lakini ilikuwa ngumu sana mimi kumpokea Frank, kila nikisikia sauti yake ama akinigusa bahati mbaya najikuta naogopa sana hata nashindwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments