MY BODYGUARD 11

MY BODYGUARD 11

Tahiya alishuka ngazi taratibu kwa hatua za kujivunia, akijitahidi kuficha kabisa woga na uchovu uliokuwa unamsumbua kutokana na usiku mrefu wa mahaba alioupitisha na Tariq. Alinyoosha mgongo wake, akaweka tabasamu la kikebehi usoni mwake, na kuingia sebuleni huku akitupa macho yake kwa wale wageni waliokuwa wameketi kwenye sofa za kifahari za sebule hiyo. Sebuleni kulikuwa na watu watatu. Msimamizi mkuu wa mali za familia yao, Bwana Mhando, alikuwa amesimama akionekana mwenye shughuli nyingi. Kando yake walikaa wanaume wawili waliovaa suti za kijivu za bei ghali, wakionekana kama mabosiwakubwa wa taasisi za fedha au uwekezaji. Lakini wakati Tahiya alipofika katikati ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments