
" Kwema hapa? Aliuliza Jimmy " Wema utoke wapi mzungu analeta mambo Meusi kuchukua mke wa jamaa. " Basi jamani naomba muendelee kumdhalilisha na kumpa adhabu ,futeni hizo video na picha tafadhali ni sana. " Wewe vipi tutafutane kabla haujatoka hela. " Usijali kuhusu pesa , pesa ninazo hapa ila kwanza naombeni nihakikishe kuwa mmefuta kila kitu kumuhusu. Jimmy alichukua simu zao na kuhakikisha kila kitu kimefutwa ndipo nae akatoa hizo pesa wale wanaume walimchukua Jesca wakaondoka. Waliwaacha jimmy na Chriss wakiwa chumbani, Chriss alichukua nguo zake akawa anavaa. Wakati huo jimmy alikuwa akimuangalia bila kummaliza alitamani kuongea jambo lakini
0 Comments