VIANNA 🥰🥰💃 ( Binti aliyebadilisha maisha ya playboy wa kizungu ) SEHEMU YA TISA

VIANNA 🥰🥰💃 ( Binti aliyebadilisha maisha ya playboy wa kizungu ) SEHEMU YA TISA

Mama Chriss aliachia tabasamu mwanana na kusema. " Kila aliye karibu na mwanangu lazima nimfahamu nimefurahia huduma yako kwa vijana wangu , wewe ni binti wa kitanzania na imani umefungwa vizuri sana na unafuata kile ulichofundishwa. Kwa leo acha niishie hapo ila natamani sana kuongea na wewe, nitatafuta muda tuongee zaidi Viana" " Sawa madam , wewe ni mcheshi sana nimekupenda . " Nimekupenda pia. Bye " Bye " Ok mom bye. Walimaliza kuongea Jimmy akichukua pc yake akaondoka . Baada ya miezi kukatika Chriss alijisahsu tena na kuanza kutoka usiku huko alianza tena kukutana na wanawake tofauti tofauti na

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments