
______________ SEHEMU YA KWANZA Ilikuwa majira ya saa kumi na moja jioni, katika nyumba moja mzuri iliyokuwa na madhari nzuri ya kuvutia , binti mrembo mercy alikuwa kakaa nyumbani kwao pamoja na mashoga zake wanne, HAPPY , JULIET, SAUDA NA ZENA. Walikuwa wakipiga story huku wakiwa wanafurahia kwani Mercy alikuwa anawaambia wenzake kuwa hivi karibuni anavakishwa pete na mpenzi wake Chriss. Kijana wa bilionea knight ambae walianzisha uhusiano miezi minne iliyopita kwa kuunganishwa na wazazi wao. " Kwahiyo kutakuwa na sherehe kubwa ya kuchumbiwa? Aliuliza Mmoja wa marafiki zake aliuliza. " Hivi wewe unanionaje, unanichukuliaje kwanza kwa hadhi yangu na
0 Comments