KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO MTUNZI HUSQER BALTAZAR (LEYLA) EPS 19

KAKA DICK NAKUPENDA NA MADHAIFU YAKO  MTUNZI HUSQER BALTAZAR (LEYLA) EPS 19

PHONE NO 0657762790 Ilipoishia eps 18 Wewe mshezi wako kanitoroka lakin trust me Samweli nikimpata ama zangu ama zake,alisema mwanadada Rebeka ndio nikagundua ni mke wa yule fyndi gereji ambae nilishaachana nae baada ya kugundua ni mume wa mtu. Songa nayo............... Sikujua kwa nn ananihusisha na mume wake hali yakuwa tushaachana,nikajisimea labda ndio malipo kwa niliyomfanyia Dick Wangu. Basi nikasikia kama gari linaondoka,baada ya kama nusu SAA nikasikia mtu kaja kisha akafungua gari na kunitoa,alikua ni Dude alinitaka nihame mkoa maana yule mama angenifanyia kitu kibaya nikawaza nitamuacha katika hali gani Dickson akiwa ajui nilipo,ikabidi nikubali kwa ajili ya usalama

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments