YATANIUA Sehemu ya 16

YATANIUA Sehemu ya 16

Mwandishi:lissa mwalla Nilihuzunika sana sana, lkn nitafanyaje sasa? Basi si kaamua na mm kumtafuta siwez. Dionice alikua ananitafuta lkn mm Nina stress hata sitaki kuonana nae, nilikosa raha hata nikawa sina hata raha nikiwa dukan, Dash sikuwahi muona siku nne na hata hanitafuti na mtandaoni namuona sana tu tena anapost anakula bata na rafik zake.siku moja tukiwa dukani mm mai na Irene Mai akaona avunje ukimya akasema dia nn? Mbn kama huna raha? Nikasema niko powa tu, Irene akasema mmh hapana huna raha ukikaa upoupo tu tukiongea hapa yn kama uko dunia ingine sisi ni rafiki zako kuna nn? Mai

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments