
Mwandishi:lissa mwalla Nilimkumbatia pia nilijiachia niliskia rahaa mie, mmh Dash aweee mbn unanivurugaaa hivi? Mara tukaskia yani ni bonge moja la kolabo imefana bana, alikua ni mai, tuliachiana fasta na Dash mm nikakimbilia chumba cha mamodo nikaskia Dash anapongezwa sana na rafiki zangu, mm nikaomba lipstik nikawa naipaka upyaa, waliniulizia wakaambiwa wakanifata na kunipongeza wakasema ym mlipanga vizur mno, nikasema woteee mlinisaidia hivo hii ni yetu hii. Kuke kidada kimodo cha Dash nikasema mmefanya poa saba Dash yuko wap mana inabid tukasherehekee, nikasema yuko nje huku nikiwa nimekasirika. Kilitoka zake mm nikiwa na mawazo, mai akasema ehee twenden bas mkasalimie
0 Comments